Kifo cha Recho Haule kimemfanya Jackline Wolper afute mipango yake ya kuzaa...
Staa wa kike wa filamu za kibongo, Jackline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa hana wazo kabisa la kubeba mimba kwani staili ya kifo cha Recho Haule inamuumiza sana kichwa.......
View ArticleDude azikana tuhuma za Uchawi
Msanii 'kiwango' wa filamu nchini Kulwa Kikumba 'Dude' amekanusha taarifa za kuwepo kwa imani za kishirikina katika misiba inayoikumba tasnia ya Filamu kwa kipindi cha mwezi...
View ArticleMillen Magese: Watu warefu na Weusi tunanyanyasika Viwanja vya Ndege
Kukamatwa kwa baadhi ya watanzania katika nchi mbalimbali wakihusishwa na ubebaji wa dawa za kulevya kumeathiri idadi kubwa ya wasafiri wanaotumia hati ya kusafiria ya Tanzania...
View ArticleMke wa Chaz Baba amchapa makofi mke Mwenza Chooni
Mke halali wa Rais wa bendi ya mashujaa musica Charles Gabriel Cyprian 'Chaz Baba', Rehema Sospeter Marwa mwishoni mwa wiki jana alizua timbwili la mwaka baada ya kumchapa...
View ArticleVilio vyatawala katika Wodi aliyolazwa Housigeli ( Mfanyakazi wa ndani )...
Kelele za vilio jana zilisimamisha kwa muda shughuli katika Wodi ya Wanawake ya Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam baada ya mama mzazi wa msichana, Yusta Lucas (20) anayedaiwa kuteswa kwa...
View ArticleKilichosemwa Bungeni juu ya picha chafu za Utupu za watu maarufu...
Sakata la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu...
View ArticlePicha: Kinachoendelea katika Msiba wa Mzee Small, Tabata Dar es Salaam
Waombolezaji mbalimbali kwa sasa wamejumuika nyumbani kwa marehemu Said Ngamba 'Mzee Small' eneo la Tabata, Mawenzi jijini Dar wakisubiri utaratibu wa mazishi ya msanii huyo mkongwe...
View ArticlePicha za Rais Kikwete akiwa Msibani kwa Mzee Small kuwapa pole Wafiwa
Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba. Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa...
View ArticleWatuhumiwa wa Kesi ya Mtoto wa Boksi kusomewa Mahitaka Upya.....Wananchi...
Difenda iliyobeba watuhumiwa wa kesi ya mtoto wa boksi, Nasra Rashid ikiwasili Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Morogoro. Baba mlezi wa mtoto Nasra, Mtonga Omari akishuka kwenye gari la polisi kwa...
View ArticlePicha za Mazishi ya Mzee Small katika makaburi ya Segerea jijini Dar
Jeneza la Mzee Small likiombewa.<!-- adsense -->
View ArticleJennifer Lopez kutoshiriki ufunguzi wa kombe la dunia Brazil
Mwanamuziki mashuhuri duniani Jennifer Lopez, amejiondoa katika shamra shamra za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia ambazo zitafanyika mjini Sao Paulo siku ya Al-khamisi, kabla ya mchezo wa kwanza...
View ArticlePicha: Tuzo Nyingine Aliyoshinda Rihanna na Vazi Alilovaa....
Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji Kevin Hart Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA, kivazi alichovaa kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha kushambuliwa na...
View ArticleNuhu Mziwanda achukua Uamuzi Mgumu juu ya Penzi la Shilole
Mapenzi ya Nuhu Mziwanda na Shilole yanazidi kupiga hatua na kuwa surprise kwenye story za mahusiano ya mastaa wa bongo. Nuh Mziwanda ameamua kuuonesha upendo wake kwa vitendo zaidi kwa kujichora...
View ArticleKauli ya Profesa Jay Baada ya Diamond Kukosa tuzo za MTV MAMA
Diamond Platinumz alikuwa mshiriki kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za MTV MAMA mwaka huu na kwa bahati mbaya hakushinda tuzo katika vipengele vyote viwili alivyokuwa akiwania. Msanii mkongwe Profesa Jay...
View ArticleFahamu Gari la Kifahari la Nay wa Mitego alilojinunulia kama zawadi ya...
Jana June 9 Nay wa Mitego alisharehekea siku yake ya kuzaliwa ikiwa ni mwaka wake wa mafanikio zaidi katika muziki. Nay ameweka wazi kuwa amefikisha umri wa miaka 29 na kwamba ameamua kufanya...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumanne ya tarehe 10 June 2014
Magazeti ya Leo Jumanne ya tarehe 10 June 2014
View ArticleMapacha wa Miaka 6 wafa Maji wakiokoana
Watoto mapacha wenye umri wa miaka sita, wamekufa baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji wakati wakicheza. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watoto hao walitumbukia...
View ArticleUpelelezi wa kesi ya Wilfred Rwakatare na wenzake bado haujakamilika......
Upelelezi wa kesi ya kula njama ya kudhuru kwa sumu inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare na mwenzake Ludovick Joseph, haujakamilika. Wakili Mwandamizi wa...
View ArticleMsichana wa kazi ( Hausigeli ) aliyechomwa Pasi na kuteswa kwa miaka mitatu...
Hatimaye Yusta Lucas (20), binti aliyekuwa akiteswa kwa kuchomwa pasi na kung’atwa na mwajiri wake, Amina Maige ameruhusiwa kutoka Hospitali ya Mwananyamala alikokuwa amelazwa na kukabidhiwa kwa...
View ArticleNick Minaj ayaanika Maziwa yake Jukwaani
Mwanamziki Nick Minaj mwishoni mwa wiki jana alifanya tukio la kushangaza baada ya kuamua kuonesha matiti yake wakati akitumbuiza jukwaani katika tamasha la muziki la Summer...
View Article