Rihanna alikabidhiwa tuzo na mchekeshaji Kevin Hart
Wiki iliyopita baada ya Rihanna kupokea tuzo ya mitindo ya CFDA,
kivazi alichovaa kikimuonesha nusu mtupu kilikuwa gumzo kiasi cha
kushambuliwa na waimbaji wa kundi la TLC kuwa anajiuza huku Jay Z
akijitokeza kutoa ushauri wake.
Hata kabla wiki haijaisha, Rihanna alitangazwa tena kuwa mshindi wa
tuzo ya Most Desirable Woman kwenye
↧