Mwanamuziki mashuhuri duniani Jennifer Lopez, amejiondoa
katika shamra shamra za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia ambazo
zitafanyika mjini Sao Paulo siku ya Al-khamisi, kabla ya mchezo wa
kwanza fainali hizo ambao utashuhudia wenyeji Brazil wakicheza dhidi ya
timu ya taifa ya Mexico.
Taarifa za mwanamuziki huyo kutoka nchini Marekani zimethibitishwa na
shirikisho la soka duniani
↧