Upelelezi wa kesi ya kula njama ya kudhuru kwa
sumu inayomkabili Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Rwakatare
na mwenzake Ludovick Joseph, haujakamilika.
Wakili
Mwandamizi wa Serikali, Tumaini Kweka alidai hayo jana mbele ya Hakimu Aloyce
Katemana wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakati kesi hiyo ilipotajwa.
Hakimu
Katemana alisema kesi hiyo itatajwa tena Julai 8
↧