Hatimaye Yusta Lucas (20), binti aliyekuwa akiteswa kwa
kuchomwa pasi na kung’atwa na mwajiri wake, Amina Maige ameruhusiwa kutoka Hospitali ya
Mwananyamala alikokuwa amelazwa na kukabidhiwa kwa wanaharakati wa
Taasisi ya Jipange.
Hatua hiyo ilifikiwa baada ya maridhiano kati ya
Ustawi wa Jamii, mama mzazi wa Yusta, Modesta Simon, Kamati ya Ulinzi na
Usalama Kata ya Makumbusho na
↧