Watoto mapacha wenye umri wa miaka sita, wamekufa
baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji wakati wakicheza.
Kamanda
wa Polisi wa Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei alisema watoto hao walitumbukia kwenye kisima kilicho jirani na
nyumbani kwao.
Kwa
mujibu wa kamanda huyo, tukio hilo ni la juzi saa 10 jioni katika Kijiji cha Pipani
– Kiwangwa, Kata ya Kiwangwa tarafa ya Msata wilaya
↧