Staa wa kike wa filamu za kibongo, Jackline Wolper amefunguka kuwa kwa sasa hana wazo kabisa la kubeba mimba kwani staili ya kifo cha Recho Haule inamuumiza sana kichwa....
Ingawa Wolper anaamini kuwa ni wajibu wa kila mwanamke kuzaa, lakini aina ya kifo ambacho rafiki yake kipenzi Recho amekufa nacho kimekuwa ikimtesa sana moyoni na
↧