Mrembo aliyeonekana kwenye picha inayodaiwa kutengenezwa kitaalam akiwa na mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapten John Komba, anasakwa kwa udi na uvumba....
Kusakwa kwa mwadada huyo anayedaiwa kuishi maeneo ya Kinondoni jijini Dar es salaam, kumekuja siku chache tangu mbunge huyo atoe taarifa kwamba hauhusiki na picha hizo na ana imani kwamba
↧