Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth
Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir
Nando umewekwa kweupe.
Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na
Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa
nidhamu.
Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo
↧