Jay Z amemtimua bodyguard aliyedaiwa kuchepuka na Beyonce!
Tuhuma za Beyonce kumsaliti Jay Z na kutoka na mlinzi wake aitwae Julius De Boer zilisambaa mwezi uliopita huku likiwaacha mashabiki wao midomo wazi. Katika hali inayoonekana kuwa Jay Z amezifanyia...
View ArticleDodoma wamchefua Waziri Mkuu Pinda, agoma kukagua zahanati
ILE hali ya kufanya kazi kwa mazoea iliyojengeka kwa baadhi ya watendaji wa Serikali jana iliwatokea puani watendaji wa Manispaa ya Dodoma wakati Waziri Mkuu alipoamua kufanya ziara kukagua miradi ya...
View ArticleLowassa ataka Viongozi wanaouza Ardhi Wang'olewe
WANANCHI wa Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha wametakiwa kuwang’oa madarakani viongozi wa vijiji wanaoshiriki kinyume na utaratibu kuuza ardhi bila ya kufuata utaratibu kwa kuendekeza...
View ArticleBabu wa miaka 97 asaka mtoto...Alioa akiwa na miaka 94, mkewe ana miaka...
BABU aliyefunga ndoa mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 94, Mathias Kisokota mkazi wa Kitongoji cha Isunta, Namanyere wilayani Nkasi ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 97, amehamia na mkewe katika Mji wa...
View ArticleMillen Magese: Kifo cha Kanumba kiliharibu Mipango yetu
Mrembo Millen Magese amekumbuka kauli ya kwamba mipango si matumzi, kutokana na kuwa na mipango mingi na marehemu Kanumba enzi za uhai wake katika kuikomboa sanaa ya filamu...
View ArticleMatokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards 2014 ni...
Leo Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda hata moja kati ya hizo.... Tuzo ya best collabo imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa...
View ArticleTuzo za MTV MAMA 2014: Diamond hajabahatika kubeba tuzo yoyote, Mafikizolo...
Safari ndefu ya ya mchakato wa tuzo za MTV (MAMA2014) Ulioanza rasmi April 16 baada ya kutangazwa majina ya nominees na kuanza kupigiwa kura imefikia ukingoni usiku huu, ICC Arena, Durba Afrika Kusini....
View ArticleBreaking News: Muigizaji mkongwe nchini, Mzee Small Afariki Dunia
Muigizaji mkongwe nchini, Mzee Small Wangamba amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya...
View ArticleShamsa Ford afunguka baada ya Picha Chafu za Utupu zinazodaiwa Kuwa Zake...
Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu juzi. Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa...
View ArticleKauli ya kwanza ya Diamond Platnumz baada ya kushindwa kuchukua tuzo za MTV...
Macho na masikio ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi June 07 yote yalielekezwa Durban Afrika Kusini, sehemu ambako zilikua zikitolewa tuzo za wateule wa MTV Afrika Music Award ‘MAMA’. Furaha...
View ArticlePicha ya Mzee Small akiwa na mtoto wake Jana kabla ya mauti kumfika
Pichani ni mzee Small akiwa na mtoto wake kipenzi Mahamood usiku wa kuamkia jana. Mtoto huyo anasema alimuaga baada ya chakula cha usiku kwamba anakwenda kulala,ilipofika asubuhi ya kuamkia jana...
View ArticleMzee Small Kuzikwa Kesho Makaburi ya Segerea jijini Dar
MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini, Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya Segerea jijini Dar es Salaam. Marehemu alifariki dunia jana usiku akiwa katika...
View ArticleWatu 6 wafariki katika ajali ya basi la Ndejela jijini Mbeya
Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa...
View ArticleHistoria ya Marehemu Mzee Small
Jina lake ni Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small (58). Amezaliwa mwaka 1955. Alikuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo hapa Bongo. Mzee Small alipata elimu ya msingi katika Shule ya...
View ArticleChanzo cha Ugonjwa wa Wasichana kuanguka Shuleni chatajwa
Ugonjwa wa kuanguka na kupiga kelele unaowakumba baadhi ya wasichana katika shule mbalimbali nchini, umetajwa kusababishwa na maambukizi ya hofu inayosababisha mwili kupata dalili za magonjwa...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 9 June 2014
Magazeti ya Leo Jumatatu ya tarehe 9 June 2014
View ArticleCHADEMA Yasambaratika chuo kikuu cha SAUTI Mwanza.....Mamia ya wanachama wake...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amepeleKa ‘msiba’ Chadema, baada ya kusomba wanachama wa chama hicho wanaosoma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (Saut),...
View ArticleWasichana waliotekwa nyara na kundi la Boko Haram waonekana Wakioga na...
Mamia ya wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram nchini Nigeria wanadaiwa kuonekana wakioga na kuwapikia wanamgambo wa kundi hilo. Aidha taarifa zinaeleza wengi wa wasichana hao wanashikiliwa...
View ArticlePenzi la Lulu Michael na Amir Nando wa Big Brother laanikwa hadharani
Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe. Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito...
View ArticleMwanamke aliyeonekana Pichani na Kapten Komba asakwa.....Aliyevujisha naye...
Mrembo aliyeonekana kwenye picha inayodaiwa kutengenezwa kitaalam akiwa na mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapten John Komba, anasakwa kwa udi na uvumba.... Kusakwa kwa mwadada huyo...
View Article