Safari ndefu ya ya mchakato wa tuzo za MTV (MAMA2014) Ulioanza rasmi
April 16 baada ya kutangazwa majina ya nominees na kuanza kupigiwa kura
imefikia ukingoni usiku huu, ICC Arena, Durba Afrika Kusini.
Kwa mujibu ya matokeo ya mchakato mzima, Tanzania hatujabahatika kupata
tuzo hata moja kati ya tuzo mbili alizokuwa anawania Diamond Platinumz
(Best Male Artist na Best Collaboration)
↧