Leo Diamond alikuwa
anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda hata moja kati ya hizo....
Tuzo ya best collabo imechukuliwa na Uhuru ft DJ
Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja....
Tuzo ya mwisho aliyokuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa
ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi
↧