Mrembo Millen Magese amekumbuka kauli ya kwamba mipango si matumzi, kutokana na kuwa na mipango mingi na marehemu Kanumba enzi za uhai wake katika kuikomboa sanaa ya filamu nchini, lakini kabla hawajakutana naye mauti yalimkuta...
Millen na muigizaji mashuhuri nchini Nigeria, Ramsey Noah walipanga kukutana na Kanumba lakini kabla siku hiyo
↧