Muigizaji
mkongwe nchini, Mzee Small Wangamba amefariki dunia usiku huu akiwa
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa
presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na
kupelekwa Muhimbili.
Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha
kifo cha Mzee Small. Mungu alizale Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi-Amina.
<!--
↧