Macho na masikio ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi June 07
yote yalielekezwa Durban Afrika Kusini, sehemu ambako zilikua zikitolewa
tuzo za wateule wa MTV Afrika Music Award ‘MAMA’.
Furaha tuliyokuwa nayo Watanzania ilikua kubwa baada ya kuona kijana wetu toka nyumbani Tanzania akiwa ni miongoni mwa vijana wanaochuana kwenye
tuzo hizo tena akiwa katika vipengele viwili,ingawa
↧