Pichani ni mzee Small akiwa na mtoto wake
kipenzi Mahamood usiku wa kuamkia jana.
Mtoto huyo anasema alimuaga
baada ya chakula cha usiku kwamba anakwenda kulala,ilipofika asubuhi ya
kuamkia jana hakuweza kuongea tena mpaka mauti yalipomfika majira ya
Saa4 usiku wa kuamkia leo.
(Picha na Awadh Ibrahim KwanzaJamii akiwa
nyumbani kwa marehemu)
<!-- adsense -->
↧