MWILI wa msanii mkongwe wa vichekesho nchini,
Said Ngamba ‘Mzee Small’ utazikwa kesho saa 10 jioni katika makaburi ya
Segerea jijini Dar es Salaam.
Marehemu alifariki dunia jana
usiku akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa anapatiwa
matibabu.
Mzee Small alifikishwa hospitalini majira ya saa mbili asubuhi ya jumamosi ya June 7 ( jana ) baada ya kuzidiwa.Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.
