Watu Sita wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la
Kampuni Ndejela Express lenye namba za usajili T 257 CMP aina ya TATA
likiendeshwa na Dereva wa kike Vailet Mbinda(31) mkazi wa Sokomatola
kugongwa kwa nyuma na roli la mizigo kisha kupinduka Kijiji cha Nanyala
Kata ya Nanyala wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
Ajali hiyo imetokea
majira ya saa tisa alasiri barabara ya
↧