Jina lake ni Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small (58).
Amezaliwa mwaka 1955. Alikuwa msanii mkongwe wa vichekesho na maigizo
hapa Bongo.
Mzee Small alipata elimu ya msingi katika Shule ya Mingumbi huko
Kilwa mkoani Pwani. Mbali na kuwa mkongwe, Mzee Small kila ulipozungumza
naye alikuwa na kawaida ya kutamba kuwa yeye ndiye msanii wa kwanza
kabisa Tanzania Bara kuchekesha
↧