Tuhuma za Beyonce kumsaliti Jay Z na kutoka na mlinzi wake
aitwae Julius De Boer zilisambaa mwezi uliopita huku likiwaacha
mashabiki wao midomo wazi.
Katika hali inayoonekana kuwa Jay Z amezifanyia kazi kwa msisitizo
zaidi, Beyonce ameonekana mitaani akiwa mlinzi mwingine ambaye
hakufahamika huku wengi wakiuliza nini kimemkuta Julius? Au ndio
katimuliwa kabisa?
Taarifa za
↧