Miaka miwili na nusu ya mapenzi yaliyokuwa yakitajwa kama
mfano wa wapendanao kweli imekamilika na story imebadilika pia baada ya
Jennifer Lopez na mpenzi wake mwenye umri mdogo, Casper Smart kupigana
chini.
Chanzo cha karibu na Jennifer Lopez kimeiambia Us Weekly kuwa wawili
hao walianza purukushani za kuachana tangu miaka miwili iliyopita.
“Haikuwa uamuzi rahisi lakini wameamua
↧