Vazi la Rihanna katika tuzo za mitindo za CFDA mwaka huu
limeendelea kuwa gumzo na wengi wamemshambulia kwa madai ya kutojali
maadili.
Member wa kundi la TLC, Chilli na T-Boz nao hawakusita kumpa makavu
live wakati wanafanya mahojiano na kipindi cha SunRise cha televisheni
ya Australia. Walisema kuhusu mavazi hayo na kueleza kuwa Rihanna anauza
ng9no.
“Ni vigumu kwetu kusema
↧