Imekuwa kama zali jana, ikiwa ndio siku ya kukumbuka siku yake ya
kuzaliwa, mwanamuziki na mtangazaji maarufu, Vanessa Mdee aka VeeMoney
kaingizwa kwenye orodha ya watu maarufu duniani, kwa account yake ya
mtandao wa kijamii wa twitter kuwa Verified.
Ni wasanii wachache sana
hapa afrika ya mashariki waliopata bahati hii ya kujulikana kimataifa na
kuweza kuwa verified katika mtandao
↧