Kijana anusurika kufa baada ya kupigwa akituhumiwa ni mwizi jambo ambalo...
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la sule amenusurika kifo baada ya kupigwa na watu wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa ni mwizi jambo ambalo baadaye lilikuja kubainika kuwa hana hatia yoyote....
View ArticleMahakama kuu ya Tanzania Yatupilia mbali kesi dhidi ya Waziri mkuu Mh....
Mahakama kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi dhidi ya waziri mkuu, Mh. Mizengo Pinda iliyofunguliwa na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC na chama cha wanasheria Tanganyika TLS kwa sababu...
View ArticleMwandalizi wa Mazishi aagiza Maiti Ikatwe Miguu ili kuifanya itoshe kwenye...
Mwandalizi mmoja wa mazishi nchini Afrika Kusini,anayedaiwa kuwaagiza wafanyakazi wake kuikata miguu ya maiti moja aliyodai kuwa ndefu sana alifikishwa mahakamani Ijumaa. Ronel Mostert anayemiliki...
View ArticleMagazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 7 June 2014
Magazeti ya leo Jumamosi ya tarehe 7 June 2014
View ArticleKijana afikishwa mahakamani jijini Mwanza kwa tuhuma za kukutwa akifanya...
MTU mmoja amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Ukerewe, Mwanza kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi na mbuzi. Mtuhumiwa huyo, William Sebastian (21), mkazi wa Kijiji cha Mlezi alisomewa...
View ArticleTuzo za MTV MAMA kufanyika Leo,Durban Afrika Kusini
Mwigizaji maarufu nchini Marekani ambaye pia ni mchekeshaji, mwandishi wa muswada na mwongozaji wa filamu, Marlon Wayans anatarajiwa kuwa msanii mkubwa atakayeongoza jukwaa katika hafla ya ugawaji wa...
View ArticleHotuba ya Rais Shein wa Zanzibar kumuenzi David Livingstone ikiwa ni miaka...
Ndugu Wananchi, Tuna wajibu mkubwa wa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa afya na uzima tukaweza kujumuika leo hii. Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa viongozi wa Kanisa la Anglikana wa...
View ArticleRay C kugombea Ubunge 2015 ili kupigana na watu wanaoingiza madawa ya kulevya...
Makundi mengi ya vijana ndani ya mtandao wa facebook yamekuwa na imani kuwa msanii Rehema Chamila anaweza kuwa mtetezi wao mkubwa endapo ataamua kuingia kwenye siasa... Vijana...
View ArticleJini Kabula ayakana Mapenzi ya Baa....Asema kama unamtaka kimapenzi mfuate...
Sitaki tena....Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na kauli ya nyota wa filamu za kibongo Mirium Jolwa "Jini Kabula" ambaye amedai kuwa kwa sasa hataki kusikia mapenzi ya pesa na...
View ArticleMaelezo ya mmiliki wa nyumba alikouwawa yule Chatu mwenye kitambaa cha...
June 05 2014 mchana kupitia mitandao mbalimbali Tanzania zilisambaa taarifa zikimuhusu mmiliki wa mojawapo ya nyumba maeneo ya Sakina jijini Arusha kwamba nyoka aliyekua akimfuga kwa siku nyingi na...
View ArticleSerikali yawapa Uraia wakimbizi wa Kisomali 1,514.....Waziri Chikawe...
Felix Mwagara SERIKALI imewapa uraia wa Tanzania Wakimbizi wa Kisomali wenye asili ya Kibantu 1,514 waliokuwa wanaishi katika Makazi ya Chogo, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga. Wakimbizi hao ambao...
View ArticleRais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alazwa Hospitalini.....
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya , atapumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu akiwa nyumbani. Taarifa hii ni kwa mujibu wa maafisa kutoka kwa ofisi...
View ArticleRais Kikwete aongoza waombolezaji kuuaga mwili wa mfanyakazi wa Ikuli,...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B....
View ArticleMbunge Joshua Nassari ( CHADEMA ) afunga Ndoa ya Kihistoria....Watu wamepiga...
Mbunge Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Samwel Nassari amefunga ndoa na Anande Nko kwenye Kanisa la Pentekoste lililopo Kilinga, Arumeru jijini Arusha ikifuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika...
View ArticleBonyeza hapa kuangalia Majina ya Walioitwa kwenye USAILI nafasi ya Mkaguzi...
Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14 na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti ya Habari Leo, Mtanzania na Daily news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa...
View ArticleIbada ya Kiislamu kufanyika Vatican ( Makao makuu ya kanisa Katoliki ) kwa...
Kwa mara ya kwanza katika historia, sala na mafundisho kutoka kwenye Quran yatasikika Vatican Jumapili, ambako ni makao makuu ya kanisa katoliki duniani. Uamuzi huo umefanywa na Papa Francis ikiwa ni...
View ArticlePicha za redcarpet ya MTV Awards,Diamond akiwa na Wema Sepetu na muonekano wa...
Hapa kuna picha za red carpet ambapo Wema na Diamond walipata picha ya pamoja. Utaweza kuona picha za backstage na muonekano wa stage ya show ya leo. <!-- adsense -->
View ArticleBaada ya Diamond, Vanessa Mdee kawa Verified Twitter
Imekuwa kama zali jana, ikiwa ndio siku ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa, mwanamuziki na mtangazaji maarufu, Vanessa Mdee aka VeeMoney kaingizwa kwenye orodha ya watu maarufu duniani, kwa account...
View ArticleRihanna awajibu TLC waliomponda kuwa anauza ng9no kwa kuvaa nusu mtupu
Vazi la Rihanna katika tuzo za mitindo za CFDA mwaka huu limeendelea kuwa gumzo na wengi wamemshambulia kwa madai ya kutojali maadili. Member wa kundi la TLC, Chilli na T-Boz nao hawakusita kumpa...
View ArticleJennifer Lopez na Casper Smart wapigana chini
Miaka miwili na nusu ya mapenzi yaliyokuwa yakitajwa kama mfano wa wapendanao kweli imekamilika na story imebadilika pia baada ya Jennifer Lopez na mpenzi wake mwenye umri mdogo, Casper Smart kupigana...
View Article