Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la sule amenusurika kifo
baada ya kupigwa na watu wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa ni mwizi
jambo ambalo baadaye lilikuja kubainika kuwa hana hatia yoyote.
Wakizungumza eneo la feri jijini Dar es salaam
baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa inasikitisha kuona watu
wakijichukulia sheria mikononi bila kuhoji tukio ambapo mara baada
↧