Baada ya kusambaa kwa picha ambazo si nzuri katika mazingira ya
kawaida zikimuonyesha Mhe. Kaptein Komba akiwa amepiga picha na msichana
chumban huku zikimuonyesha msichana huyo amevaa kanga na wakati
mwingine bila kuwa na nguo, mbunge huyo ameamua kulitolea ufafanuzi sakata hilo.
Akizungumzia tukio hilo moja kwa moja kutoka Dodoma Mhe. Komba anasema
hajui kuhusiana na picha
↧