Magazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 5 June 2014
Magazeti ya Leo Alhamisi ya tarehe 5 June 2014
View ArticleWaganga wanaodai kutibu UKIMWI sasa kukamatwa.......
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeagiza vyombo vya dola, kukamata waganga wa jadi, wanaojitangaza kutibu magonjwa ya Ukimwi, kisukari na shinikizo la damu.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na...
View ArticleMwenge wa Uhuru wapata ajali, polisi watatu wajeruhiwa
Askari polisi watatu kati ya watano, wameumia vibaya baada ya gari walilokuwa wakisindikizia Mwenge wa Uhuru kupata ajali mkoani Singida huku waandishi wa habari na wapigapicha wakinyang’anywa vitendea...
View ArticleUKAWA wagawanyika Vipande Vipande......
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umeendelea kushikilia hatima ya kupatikana kwa Katiba Mpya yenye maridhiano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayopaswa kupendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba...
View ArticleRais Kikwete akutana na mjumbe maalumu wa Rais wa Afrika Kusini leo Ikulu Dar...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalumu wa Rais Jacob Zuma wa Afrika kusini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mama Maite Nkoana-Mashabane Ikulu jijini...
View ArticleUkuaji wa deni la taifa waumiza vichwa wabunge.....Mpaka sasa kila mtanzania...
Bunge la bajeti linaendelea bungeni mjini Dodoma ambapo sasa ni zamu ya wizara ya fedha na uchumi. Bajeti yake imewasilishwa na waziri wa fedha Saada Mkuya Salum ambapo bajeti yake imepita huku suala...
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 6 June 2014
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 6 June 2014
View ArticleKijana aliyedaiwa kupotea kwa Imani za kishirikina mkoani Mara apatikana...
Kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Nyambogo wilayani Rorya mkoani Mara, ambaye anadaiwa kupotea nyumbani kwa imani za kishirikina hatimaye amepatikana huku akiwa katika hali ya kutisha bila kujitambua na...
View ArticleAudio: Mtoto wa marehemu George Tyson 'Sonia' atoa ujumbe mzito wa majonzi...
Juzi simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji wa filamu na vipindi vya televisheni, George Tyson aliyefariki katika...
View ArticleUgomvi wa baba na mama wasababisha kifo cha mtoto.
Polisi mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu...
View ArticleMtoto afariki Dunia baada ya kutumbukia kisimani
Mtoto Jeremiah Nyamuhanga (2) mkazi wa Machimbo amekufa baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji karibu na nyumbani kwao. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alisema, mtoto huyo...
View ArticleMke wa mtu achomwa bisibisi Shingoni akiwa katika harakati za kumfumania mumewe
Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole, kibao kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la Niachie amegeuka mbogo na kumchoma bisibisi bosi wake, Amina ‘Mama Zai’...
View ArticleChatu mkubwa auawa jijini Arusha.....Chatu huyo alikuwa amefungwa kitambaa...
Wiki chache zilizopita wakazi wa Kinondoni walimuua Mamba ambaye alikua akiishi karibu na bwawa maeneo ya Kinondoni block 41 na ni baada ya kuchoshwa naye wakaamua kumuua,sasa baada ya mamba kuna...
View ArticleMachangudoa toka nchini Rwanda watiwa mbaroni mkoani Dodoma.....Mmoja wao...
Wanawake wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya ukahaba. Watuhumiwa watatu kati ya hao, Saidat Umotoni (28), Asha...
View ArticleSakata la Mfanyakazi wa ndani ( House Girl ) aliyefungiwa ndani na bosi wake...
Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika...
View ArticleH Baba alazwa Muhimbili baada ya kuugua Dengue
Mwimbaji wa bongo Flava, H Baba amelazwa hostpitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya madaktari kugundua kuwa ana ugonjwa wa dengue ambao umeshawauguza watu mbalimbali. H Baba alipelekwa hospitalini...
View ArticleHarusi ya Mbunge Joshua Nassari ni Kesho, Hakuna kiingilio.........Wote...
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Mh Joshua Nassari kesho anatarajia kufunga ndoa na Bi Anande Nko katika kanisa la Pentekoste, Kilinga lililoko wilaya ya Meru ambako Mh Nassari alianzia masuala ya...
View ArticleDiamond Platinumz azidi kupiga hatua baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa...
Diamond Platinumz ambaye yuko Durban Afrika Kusini akijiandaa na tuzo za MTV, ameongeza sababu nyingine ya kutabasamu baada ya akaunti yake ya Twitter kuwa Verified. Mkali huyo mwenye Followers...
View ArticleVicky Kamata azungumzia ndoa yake baada ya kudaiwa kuzuiliwa kufungwa
Mwanamuziki wa zamani na mbunge Vicky Kamata baada ya ndoa yake kudaiwa kuzuiliwa kufungwa kutokana na kudaiwa mwanaume aliyetaka kufunga naye ndoa ana ndoa nyingine, amefunguka kwa kudai kuwa hizo...
View ArticleAlichosema Mhe. Komba baada ya picha kusambaa akiwa na binti chumbani.
Baada ya kusambaa kwa picha ambazo si nzuri katika mazingira ya kawaida zikimuonyesha Mhe. Kaptein Komba akiwa amepiga picha na msichana chumban huku zikimuonyesha msichana huyo amevaa kanga na wakati...
View Article