Mwanamuziki wa zamani na mbunge Vicky Kamata baada ya ndoa yake
kudaiwa kuzuiliwa kufungwa kutokana na kudaiwa mwanaume aliyetaka
kufunga naye ndoa ana ndoa nyingine, amefunguka kwa kudai kuwa hizo
zilikuwa ni habari za kutungwa na hazikuwa na ukweli wowote.
Vicky ameiambia amplifaya ya Clouds fm jana kuwa maneno mengi ambayo
yalikuwa yanazungumzwa kuhusu ndoa yake kutofungwa
↧