Wanawake wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya ukahaba.
Watuhumiwa watatu kati ya hao, Saidat Umotoni (28), Asha Abimana (25) na Asia Umotoni Wase (30), hii ni mara yao ya pili kukamatwa mjini hapa wakidaiwa kujihusisha na biashara hiyo.
Mara ya kwanza ilikuwa Novemba mwaka jana ambapo wote ( Asia,
↧