Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu
yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa
kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika
Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam akiuguza majeraha yanayotokana
na kuteswa na kufungiwa ndani kwa miaka mitatu.
Binti huyo, mwenyeji wa Mkoa wa Tabora, katika
Kijiji cha
↧