Wiki chache zilizopita wakazi wa Kinondoni walimuua Mamba ambaye
alikua akiishi karibu na bwawa maeneo ya Kinondoni block 41 na ni baada
ya kuchoshwa naye wakaamua kumuua,sasa baada ya mamba kuna Chatu wa ajabu aliyeuwawa Arusha.
Kwa mujibu wa Arusha yetu Blog wanasema kuwa Chatu huyo aliuawa na
wananchi mchana wa June 05 na ni baada ya kuonekana maeneo ya Sakina
Arusha akiwa
↧
Chatu mkubwa auawa jijini Arusha.....Chatu huyo alikuwa amefungwa kitambaa chenye maandishi mekundu
↧