Tofauti na inavyoaminika na wengi kuwa mfumaniwaji huwa mpole, kibao
kimebadilika, mfanyakazi wa ndani aliyejulikana kwa jina la Niachie
amegeuka mbogo na kumchoma bisibisi bosi wake, Amina ‘Mama Zai’
aliyemfumania akiwa na mumewe aitwaye Amri.
Tukio hilo lilitokea juzikati maeneo ya Mbagala jijini Dar ambako
mama Zai alimwekea mtego mfanyakazi wake huyo wa ndani baada ya kubaini
↧