Polisi mkoani Rukwa inamshikilia baba mzazi huku ikimsaka mama wa mtoto mwenye umri wa mwezi mmoja, Denis Umera aliyefariki dunia kutokana na kilichodaiwa ni ugomvi wa wazazi hao uliotokana na wivu wa mapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema kifo hicho kilitokea saa 11 alfajiri, Juni 2, mwaka huu kijijini Mlanda katika Wilaya ya Sumbawanga baada ya mama
↧