Askari polisi watatu kati ya watano, wameumia vibaya baada ya
gari walilokuwa wakisindikizia Mwenge wa Uhuru kupata ajali mkoani
Singida huku waandishi wa habari na wapigapicha wakinyang’anywa vitendea
kazi na kiongozi wa Mbio za Mwenge, Rachel Steven.
Kitendo hicho kilielezwa kuwa ni kuwazuia
waandishi wa habari kutuma taarifa za ajali hiyo kwenye vyombo vyao vya
habari. Mzozo
↧