UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umeendelea kushikilia hatima ya
kupatikana kwa Katiba Mpya yenye maridhiano ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, inayopaswa kupendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba kwa
wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni.
Hata hivyo, licha
ya UKAWA kuhodhi upatikanaji wa Katiba Mpya yenye maridhiano, taarifa
zinabainisha kwamba uamuzi wa jumla wa wajumbe wake
↧