Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeagiza vyombo vya dola, kukamata waganga wa jadi, wanaojitangaza kutibu magonjwa ya Ukimwi, kisukari na shinikizo la damu.Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Dk Seif Rashid alipokuwa akiwasilisha bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2014/15.Aliwasihi wataalamu wa tiba asili na tiba mbadala, kuacha mara moja,
↧