Picha: Mrembo wa Young Killer ageuza noti za elfu 10 shuka ya kulalia
Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako. Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa uliyoipata kama kumpa mwandani wako...
View ArticleMtoto aliyekuwa amefichwa ndani ya boksi kuzikwa leo katika makaburi ya Kola...
Mazishi ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi tangu akiwa na umri wa miezi tisa, yanatarajiwa kufanyika leo katika makaburi ya Kola mkoani Morogoro. Nasra alifariki dunia usiku wa...
View ArticleRais Mpya wa Malawi ana msimamo mkali kuhusu Ziwa Nyasa pengine kuliko hata...
Wingu jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa Nyasa kutokana na msimamo wa hivi karibuni wa kiongozi wa Democratic Progressive Party (DPP), Peter Mutharika ambaye sasa ni Rais mpya wa...
View ArticlePolisi FEKI watiwa mbaroni mkoani Iringa.......
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungi akiwaonyesha maaskari feki ambao walikuwa wakifanya utapeli katika mikoa ya Iringa na Morogoro. Kulia ni Brazil Nyakunga ambaye ni mwalimu akiwa na...
View ArticleMtoto mchanga aokotwa akiwa amekufa, akutwa na plasta puani na mdomoni...
Pamoja na jitihada kubwa inayofanywa na serikali katika kupambana na matukio ya ukatili kwa watoto, bado jamii inaonekana haijaipata elimu hiyo kutokana na kuendelea kuwepo kwa matukio hayo. Leo...
View ArticleNaibu Waziri wa habari,Vijana, Utamaduni na Michezo awataja Nay wa Mitego,...
Ukiukwaji wa maadili ni sehemu ya kilio cha jamii ya watanzania na tayari kilio hicho kimeifikia serikali ambayo imechukua hatua za awali ya kuwaonya watu wanaofanya tabia hizo. Naibu Waziri wa...
View ArticleMsiba: Joseph Olita aliyeigiza kama Idi Amin kwenye 'Rise and Fall of Idi...
Wakati Tanzania tukiendelea kuwa na majozi ya vifo vya watu muhimu hapa nchini,wenzetu nao wamempoteza Joseph Olita aliyeigiza kama Idi Amini. Idi Amini wengi wanamfahamu kutokana na matukio mengi...
View ArticlePicha: Rihanna ahudhuria tuzo za fashion za CFDA akiwa Nusu Uchi.
Rihanna amewaacha midomo wazi watu wengi baada ya kuonekana amejitoa ufahamu na kuhudhuria tuzo za mitindo (CFDA 2014) zilizofanyika New York akiwa amevalia vazi linalomuacha nusu mtupu. Vazi hilo...
View ArticleDiamond kufanya Collabo na wasanii wakubwa wa Marekani, Trey Songz na Big Sean
Diamond Platinumz anazidi kung’aa na kuvuka mipaka ya Tanzania na baada ya kufanya collabo kadhaa na wasanii wakubwa Afrika Magharibi, mkali huyo wa Ngololo amejisogeza kwa wasanii wakubwa wa Marekani....
View ArticleHabari Mpya kuhusiana na msiba wa msanii George Tyson
Mwili wa Marehemu George Tyson (pichani) umepelekwa nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach (eneo la Makonde) jijini Dar es salaam leo Jumanne Juni 3, 2014 majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya kuaga....
View ArticleUnaujua Umbea na Majungu yaliyopo Instagram na WhatsApp???....Mahakama ya...
Mwanzilishi na mmiliki wa Facebook, Mark Zuckerberg ameitwa na mahakama ya Iran kujibu tuhuma za uvunjifu wa haki za usiri/faragha na kuingilia mambo binafsi. Maafisa wa Iran wameliambia shirika la...
View ArticleAudio: Msikilize Mume wa Florah Mbasha akimuomba msamaha shemeji yake ( Ester...
Sakata la Mume wa Florah Mbasha kumbaka shemeji yake limechukua sura mpya baada ya kuvuja kwa mawasiliano ya simu kati ya Ester ( shemeji yake ) na Emmanuel Mbasha ( Mume...
View ArticleMtoto aliyekuwa ndani ya boksi amezikwa kwa heshima zote.....Mazishi...
Hatimaye Mtoto Nasra Mvungi aliyefariki Juni mosi mwaka huu kufuatia kuishi katika matesa makubwa kutoka kwa mama yake mkubwa baada ya mama yake kufariki na kuishi katika boksi bila huduma muhimu...
View ArticleMagazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 4 June 2014
Magazeti ya Leo Jumatano ya tarehe 4 June 2014
View ArticleNauli za Daladala jijini Dar kupanda hadi sh. 800, Wanafunzi nao...
Hatimaye picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi...
View ArticleBaba mzazi wa mtoto aliyefichwa ndani ya boksi akwama kumzika...
Safari ya mwisho ya mtoto Nasra Mvungi (4), iliyokuwa ya mateso hapa duniani, imefikia mwisho jana katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, bila kusindikizwa na baba yake mzazi, Rashid Mvungi....
View ArticlePicha: Maandalizi ya kuuaga mwili wa msanii George Tyson katika vianja vya...
Hapa ndipo jeneza lililobeba mwili wa Marehemu George Tyson litakapoka a kwa ajili ya kuagwa <!-- adsense -->
View ArticleMwili wa George Tyson waagwa leaders Club
Jeneza lenye mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' likiwa Viwanja vya Leaders tayari kwa shughuli za kuagwa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (katikati) akiwa na Rais wa TAFF, Simon...
View ArticleMwanzilishi wa Instagram ngangari, awashushia rungu wanaoweka picha za uchi
Mtandao wa kijamii wa Instagram umezidi kuwa maarufu kutokana na jinsi ambavyo unampa nafasi mtumiaji kuionesha dunia taswira yake binafsi au hata kuhusu hisia zake. Hata hivyo watu mbalimbali...
View ArticleJamhuri ya Afrika ya Kati yapiga marufuku kutumiana ujumbe wowote kwa simu za...
Wakati Tanzania kukiwa na kampeni ya kukomesha tabia za kusambaza ujumbe mbaya kwa simu ya mkononi au mtandaoni tuliyoipa jina la ‘Delete Futa Kabisa’, serikali ya Jamhuri ya Afrika Magharibi imeamua...
View Article