Diamond Platinumz anazidi kung’aa na kuvuka mipaka ya Tanzania na
baada ya kufanya collabo kadhaa na wasanii wakubwa Afrika Magharibi,
mkali huyo wa Ngololo amejisogeza kwa wasanii wakubwa wa Marekani.
Diamond ambaye yuko Marekani ameonekana akiwa na Kevin Liles ambaye
aliwahi kuwa rais wa Def Jam Record na makamu wa rais wa Def Jam Music
Group kuanzia mwaka 1999 hadi 2004.
Hivi
↧