Mwili
wa Marehemu George Tyson (pichani) umepelekwa nyumbani kwa marehemu
Mbezi Beach (eneo la Makonde) jijini Dar es salaam leo Jumanne Juni 3,
2014 majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya kuaga.
Mwili
utakuwepo nyumbani hapo mpaka siku ya Jumatano Juni 4, 2014 ambapo mwili
utapelekwa kwenye viwanya vya Leaders Club, Kinondoni, jijini Dar es
salaam, kwa ajili ya shughuli ya
↧