Rihanna amewaacha midomo wazi watu wengi baada ya kuonekana amejitoa
ufahamu na kuhudhuria tuzo za mitindo (CFDA 2014) zilizofanyika New York
akiwa amevalia vazi linalomuacha nusu mtupu.
Vazi hilo lilionesha wazi kifua chote cha mwimbaji huyo huku maziwa
yote yakionekana bila wasiwasi huku akifunika sehemu za chini na
kimdoli alichokuwa ameshikilia.
Baada ya kuonekana
↧