Wakati Tanzania tukiendelea kuwa na majozi ya vifo vya watu muhimu hapa nchini,wenzetu nao wamempoteza Joseph Olita
aliyeigiza kama Idi Amini. Idi Amini wengi wanamfahamu kutokana na
matukio mengi aliyowahi kufanya ingawa kuna kizazi hakikuwahi kumuona.
Kupitia filamu ya The Rise and Fall of Idi Amin,Joseph Olita alicheza kama
Idi Amini na filamu hii ilikua ikielezea matukio
↧