Mtandao wa kijamii wa Instagram umezidi kuwa maarufu
kutokana na jinsi ambavyo unampa nafasi mtumiaji kuionesha dunia taswira
yake binafsi au hata kuhusu hisia zake.
Hata hivyo watu mbalimbali wamekuwa wakipost picha tata za nusu utupu
na nyingine zikipitiliza kitu ambacho mwanzilishi wa Instagram, Kevin
Systrom hakiafiki kabisa na amekivalia njuga kukikomesha.
Akiongea na
↧