Wakati Tanzania kukiwa na kampeni ya kukomesha tabia za
kusambaza ujumbe mbaya kwa simu ya mkononi au mtandaoni tuliyoipa jina
la ‘Delete Futa Kabisa’, serikali ya Jamhuri ya Afrika Magharibi imeamua
kupiga marufuku kabisa kutumiana ujumbe wowote.
Uamuzi huo umekuja kutokana na sababu zilizotajwa kama ni kuhakikisha
ulinzi na usalama baada ya kupitia katika kipindi cha zaidi ya
↧