Wingu jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa
Nyasa kutokana na msimamo wa hivi karibuni wa kiongozi wa Democratic
Progressive Party (DPP), Peter Mutharika ambaye sasa ni Rais mpya wa
Malawi.
Hiyo inatokana na msimamo wa Mutharika ambaye ni
Profesa wa Sheria wa kupinga kuendelea kujadiliana na Tanzania kuhusu
nani mwenye haki ya kumiliki ziwa hilo alioutoa wakati
↧