Mazishi ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi tangu
akiwa na umri wa miezi tisa, yanatarajiwa kufanyika leo katika makaburi
ya Kola mkoani Morogoro.
Nasra alifariki dunia usiku wa kuamkia Juni mosi mwaka huu katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu kuanzia Mei
26 mwaka huu akitokea hospitali ya Morogoro.
Kwa mujibu wa Ofisa Ustawi wa
↧