Unaposaini mkataba wa kufanya show na Kili Music Tour, hakuna wasiwasi kuwa milioni nyingi zitaingia kwenye akaunti yako.
Na hakuna kitu kizuri kufurahia pesa uliyoipata kama kumpa mwandani wako azishike na kuzichezea atakavyo.
Ndio maana Young Killer (kwa inavyoaminika kutokana na picha) aliamua
kumpa mrembo wake, Halimaty vitita kadhaa alivyovigeuza kama shuka la
kulalia.
↧