Hatimaye picha halisi ya
gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya
kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es
Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda
kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.
Kwa
wanafunzi, nauli kwa ruti moja kwenda katika
↧