Safari ya mwisho ya mtoto Nasra Mvungi (4), iliyokuwa ya mateso hapa duniani, imefikia mwisho jana katika makaburi ya Kola, Manispaa ya Morogoro, bila kusindikizwa na baba yake mzazi, Rashid Mvungi.
Nasra kwa zaidi ya miaka minne hapa duniani, inadaiwa alikuwa akiishi katika boksi lililokuwa kitanda, choo, sehemu ya kuchezea na meza yake ya kulia chakula.
Mvungi alishiriki kwenda
↧