Pamoja na jitihada kubwa inayofanywa na serikali katika kupambana na
matukio ya ukatili kwa watoto, bado jamii inaonekana haijaipata elimu
hiyo kutokana na kuendelea kuwepo kwa matukio hayo.
Leo mtoto mchanaga anayekadiliwa kuwa na umri wa siku moja amekutwa
akiwa ametupwa eneo la Mbuyuni Kawe huku akiwa amefungwa plasta sehemu
ya mdomoni na puani kumzuia kutopiga kelele pamoja na
↧