Sakata la Mume wa Florah Mbasha kumbaka shemeji yake limechukua sura mpya baada ya kuvuja kwa mawasiliano ya simu kati ya Ester ( shemeji yake ) na Emmanuel Mbasha ( Mume wa Florah) wakiombana msamaha......
Mawasiliano hayo yanadaiwa kurekodiwa na shemeji yake Mbasha pasipo yeye kujua na kisha kusambazwa katika mitandao ya kijamii...
↧